


MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA
WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA), WILFRED MUGANYIZI LWAKATARE, KWA MARA NYINGINE AMESHINDWA KUWEKEWA DHAMANA LEO KATIKA KESI
INAYOMKABILI, KESI HIYO YA JINAI NI KESI YA KUJARIBU KUMWEKEA SUMU, DENNIS
MSAKI, ILIYOSIKILIZWA KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJINI DAR ES
SALAAM.
SABABU ZA KUAHIRISHWA KESI HIYO NI
MADAI YA HAKIMU KUWA HAKUWEZA KUPATA MUDA WA KUPITIA MAFAILI YA KESI HIYO MAANA
ALIKUWA LIKIZO.LWAKATARE AMERUDISHWA SEGEREA NA KESI YAKE IMETAJWA KURUDISHWA
TENA MAHAKAMANI HAPO, KESHO ASUBUHI (JUNI 11 MWAKA HUU).
BWANA RWAKATARE AMEFIKISHWA LEO MAHAKAMANI KUFUATIA KESI YAKE KUPIGWA TAREHE ,HAPO TAREHE 8 MWEZI MEI KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJIN DAR ES SALAAM
BWANA RWAKATARE AMEFIKISHWA LEO MAHAKAMANI KUFUATIA KESI YAKE KUPIGWA TAREHE ,HAPO TAREHE 8 MWEZI MEI KATIKA MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI KISUTU JIJIN DAR ES SALAAM
HII
NI MARA TATU KESI HIYO IKIAHIRISHWA KWA SABABU MBALI MBALI SABABU ZA MWANZO
ZILIKUWA NI KUWA HAKIMU ALIKUWA LIKIZO NA LEO HAKIMU KAOMBA MUDA KUPITIA
MAJALADA YA KESI HIYO
Post a Comment