![]() |
Marehemu Jaji Khamisi (Kashi) |
Habari iliyotufikia hivi punde ni kwamba msanii
wa filamu nchini Jaji Khamis (Kashi)aliyewahi kutamba na michezo ya ITV enzi
zile akiwa na wasanii kama mzee masinde,samson na wengine katika mchezo wa Tamu
chungu na mingine mingi Amefariki
dunia mchana huu katika hosptali ya taifa ya
muhimbili alikokuwa amelazwa,akizungumza na the super stars tz raisi wa
shirikisho la wasanii amesema kuwa tasnia yake bado inaendelea kukumbwa na
majanga lakini amedai yote ni kazi ya mungu
Nae mzee masinde ambaye alikuwa nae katika kundi moja akiwa kama kiongozi wake amesema kashi ni msanii ambaye alikuwa mpiganaji na kwa hakika ni pigo kubwa katika tasnia yetu
Mungu ailaze roho ya marehemu Jaji Khamis (Kashi)
mahali pema pepponi Amini.

Post a Comment