M2 The P akiwa hospitalini
nchini Afrika Kusini.
Msanii M2 The P hatimaye ameruhusiwa kutoka hospitali leo na
hali yake inaendelea vizuri.Lakini ba
do yupo nchini afrika ya kusini kwa
mtanzania mmoja anayeishi nchini huko.
Na habari za uhakika zinasema mpaka sasa
msanii huyo bado hajapewa taarifa ya kifo cha rafiki yake Albert Mangwea.
Albert Mangweha akiwa na M2 The P (kulia).
Post a Comment