Mwenyekiti wa Taasisi ya Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa Foundation. Meja jenerali mstaafu Herman Lupogoakizumza na wanachamaMkapa
Fellows Alumni Association(MFAA)wakati wa hafla fupi mara baada ya
kumalizika kwa mkutano uliofanyika jijini Dar es salaa jana.lengo la
mkutano huo kujadili mafanikio yao na kupanga mpango wa kazi 2013
/2015.uliwakutanisha wahudumu wa afya kutoka wilaya zote nchini, zaidi
ya wahudumu 86 walipata nafasi ya kujadili na kuboresha mipango endelevu
ya (MFAA) ikiwemo jinsi ya kuendeleza (MFAA) katika kipindi kijacho,
kuangalia jinsi ya kuwajumuisha akina Baba kwenye huduma ya afya ya Mama
na Mtoto huko Newala na pia kuangalia jinsi ya kuendeleza chama
kiuchumi.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa Foundaation. Meja jenerali mstaafu Herman Lupogo(kulia) Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Wiliam Mkapa wakiwa katika hafla fupi yakuwapongeza na wanachamaMkapa Fellows Alumni Association(MFAA)iliofanyika ukumbi wa JB BELMONT jijini Dar es salaam
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Wiliam Mkapa akisalimiana na Mwalimu wa chuo cha musoma Dr John Nchagwa wakati wa hafla hiyo WanachamaMkapa Fellows Alumni Association(MFAA)wakimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa Foundaation. Meja jenerali mstaafu Herman Lupogo wakati wa hafla hiyo
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Wiliam Mkapa.pamoja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa Foundaation. Meja jenerali mstaafu Herman Lupogo wakiwa kwenye picha ya pamoja
wanachamaMkapa Fellows Alumni Association(MFAA) mara baada ya kumalizika kwa hafla hiyo.
wanachamaMkapa Fellows Alumni Association(MFAA) mara baada ya kumalizika kwa hafla hiyo.
(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Post a Comment