Katibu
Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wafuasi wa chama
hicho katika mkutano wa hadhara uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini
Unguja.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na
Katibu
Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akionesha kadi miongoni mwa kadi
za CCM zilizorejeshwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika Matemwe,
Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mwakilishi
wa jimbo la Mji Mkongwe, Ismail Jussa Ladhu akizungumza na wafuasi wa
CUF katika mkutano uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Naibu
Katibu Mkuu wa CUF Hamad Massoud Hamad, akizungumza na wafuasi wa CUF
katika mkutano uliofanyika Matemwe, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Wafuasi wa CUF wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, katika mkutano uliofanyika Matemwe.Picha na
Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar
Post a Comment