Mkurugenzi
wa Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare akisalimia baadhi ya wanachama
na wapenzi wa chadema(hawapo pichani)muda mfupi baada ya kupewa dhamana
na kuachiwa huru mchana huu mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar
es salaam.Picha na John Mrema-Chadema
--
Mkurugenzi
wa Usalama wa CHADEMA, Wilfred Lwakatare ameachiwa kwa dhamana ya
Shilingi milioni kumi kwa amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini
Dar es Salaam.
Masharti mengine ya dhamana yaliyotimizwa ni pamoja na kuwa na wadhamini wawili wanaotambulika na pia kuikabidhi mahakama pasi yake ya kusafiria.
Masharti mengine ya dhamana yaliyotimizwa ni pamoja na kuwa na wadhamini wawili wanaotambulika na pia kuikabidhi mahakama pasi yake ya kusafiria.
Post a Comment