Mbunge wa mbeya mjini mheshimiwa Josesph Mbilinyi aomba radhi kwa waziri mkuu mheshimiwa Mizengo Pinda na watanzania kwa ujumla kwa tusi alilomtukana.
Amesema haya kwenye page yake ya FB, "ndugu watanzania, naombeni radhi kwa tusi nililolitoa kwa mhe Pinda, kwani nilikua nimeghafirika, halikuwa kusudio langu kumtukana mmoja ya viongozi wa nchi
on Tuesday, June 25, 2013
Post a Comment