Wadau
wa Afrika Kusini wakiwa katika harakati za kuusafirisha mwili wa msanii
wa kizazi kipya aliyefariki Dunia huko nchini Afrika ya Kusini hivi
karibuni,marehemu Albert Mangwear jioni ya jana huko Johannesburg,
Afrika Kusini. Ratiba zinaonesha mwili huo utawasili leo jijini Dar es
salaam. Muda na ratiba kamili zitafuata punde.
......Endelea kuwa na NDGSHILATU BLOG kila wakati, kila mahali kwa habari kwa wakati ....
Post a Comment