Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein
akivishwa shada la Mauwa na Mtoto Salma Issa Ali hapo katika Uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya kurejea nchini akitokea
China kwa Ziara ya kiserikali.
Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akivishwa Shada la mauwa na
Mtoto Salma Issa Ali hapo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Zanzibar mara baada ya kurejea nchini akitokea China kwa Ziara ya
kiserikali.
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akisalimiana na Viongozi mbalimbali
waliofika kumpokea hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar
mara baada ya kuwasili akitokea nchini China kwa Ziara ya Kiserikali.

wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akiangalia ngoma ya kibati iliokuwa
ikichezw na wanakikundi wa Amani Mkoa waliofika Uwanja wa Ndege Kumpokea
akitokea nchini China kwa Ziara ya kiserikali
Rais
wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akizungumza na Waandishi wa Habari hapo
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya kuwasili
akitokea nchini china kwa ziara ya Kiserikali.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR
Post a Comment