|
IMEWEKWA JUNI 19, 2013 SAA 6:30 MCHANA
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) tawi la Tanga, Andrew
Mushi akizungumza na warembo wanaoshiriki shindano la Miss Tanga 2013
linalofanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga wakati
walimbwende hao walipotembelea kiwanda hicho asubuhi ya leo. TBL
inadhamini shindano hilo kupitia kinywaji chake cha Redd's.
|
|
Warembo wakiwa kwenye kijiko cha kupangia masanduku ya Bia cha TBL |
|
Meneja
Ghala la TBL, Edwin Wilfred akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya
DATK Entertainment, waandaaji wa Miss Tanga 2013, Asha Kigundula
kushoto. Nyuma ni mume wake, Majjid Ngota |
|
Andrew Wilfred akizungumza na warembo |
|
Meneja Mauzo wa TBL Tanga, Bahati Mbise akizungumza na warembo |
|
Warembo wakidadisi mambo mbalimbali kwa Ofisa Usambazaji wa TBL Tanga, Rose Mukhtari CREDITS BIN ZUBEIRY |
on Wednesday, June 19, 2013
Post a Comment