Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania mteule Mhe.
Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23,
2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijiandaa kuvishwa skafu
na skauti kabla ya kumuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe.
Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23,
2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na skauti
kabla ya kumuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu
Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23,
201
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi baada ya
kumuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada
ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23,
2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi vitendea kazi
Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya
kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23,
2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Skauti Mkuu wa
Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha Ikulu jijini
Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti
Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha
Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri Mkuu
Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Jaji Kiongozi Fakih Jundu na Skauti Mkuu wa Chama
cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar
es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti
Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na viongozi wa
maskatu na skauti baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni
23, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti
Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza na familia yake baada ya
kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23,
2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti
Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na waheshimiwa
wabunge ambao ni maskauti baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam
Jumatatu Juni 23, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na skauti
Ismail Aden Rageh na wabunge maskauti Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni
23, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti
Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na wanachama wa
UWT wilaya ya Ilala baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu
Juni 23, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti
Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza na viongozi wa skauti
nchini baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23,
2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na skauti
Livingstone Lusinde ambaye pia ni Mbunge wa Mtera Ikulu jijini Dar es salaam
Jumatatu Juni 23, 2013
Rais Jakaya Kikwete akimwapisha, Mwantumu Mahiza kuwa
Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania katika hafla iliyofanyika leo Ikulu,
Dar es Salaam.
JK akimkabidhi Mahiza zana za kufanyia
kazi
JK akisalimiana na
Dk. Salim Ahmed Salim aliyehudhuria hafla hiyo
JK akipiga picha na Mahiza
JK akiwa na Mahiza, Dk. Salim Ahmed Salim pamoja Jaji
Kiongozi, Fakih Jundu
JK akiwa katika picha ya pamoja na skauti wakiwemo
wabunge
JK akipiga picha na familia ya Mwantumu
Mahiza
JK akiwa katika picha ya pamoja na wabunge
Skauti
JK akizungumza na baadhi ya wabunge skauti
waliohudhuria sherehe za kuapishwa Mwantumu Mahiza
JK na Mahiza akiwa katika picha ya pamoja na viongozi
wa UWT
JK akiwa katika picha ya pamoja na Maahiza pamoja na
Skauti Mkuu aliyemaliza muda wake, Idd Kipingu
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na skauti
wabunge baada ya kumuapisha Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza (kushoto)
kuwa Kamishna Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania, Ikulu, Dar es
Salaam
Mahiza akipongezwa na skauti
wenzie
Kipingu akimvisha kofia Mahiza
Post a Comment