Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TANZANIA ENZI HIZO INADAIWA ILISHAWAHI KUWA NCHI YA TATU KWA UPELELEZI DUNIANI .... LEO HII MBONA MAJANGA MATUPU?

 



Wakazi wa mjini Iringa hivi karibuni wameshuhudia kituko cha mwaka baada ya kumnasa mzee mmoja akijifanya ombaomba kwa kuigiza ulemavu asiokuwa nao, ambapo hii imekuwa moja ya mbinu inayotumiwa katika nyanja za upelelezi.

ENZI za utawala wa Rais Mwalimu Julius Nyerere kulikuwa na uvumi kuwa Tanzania ilikuwa na idara nzuri sana ya TISS hata na kudaiwa kuwa iliwahi kushika nafasi ya tatu kwa upelelezi duniani.

Kwa upande mmoja naweza kuona ukweli wa hili nikijaribu kulinganisha TISS ya enzi za Nyerere na TISS ya enzi hizi, nakumbuka wapelelezi wa enzi hizo wengine waliweza hata kuwa kama vichaa kwa kuvaa nguo chaf
u ili waweze kukamilisha upelelezi na wakafanikiwa hata kuwakamata makaburu waliokuwa wanakuja nchini kutoka Afrika kusini kwa njia za pori.
Lakini siku hizi wasomali wanaingia nchini na kutoka wachache ndo kuwa wanakamatwa tena na polisi kwa kupewa taarifa na raia wema na sio TISS.

Naomba michango yenu wana bodi kuhusu jambo hili ukilinganisha na haya matukio yanayotokea kwa sasa.

CHANZO http://www.udakuspecially.com
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top