WIZARA YA
UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056,
DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 24/06/2013.
[Mkoa wa Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi mvua nyepesi katika maeneo
machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na
Shinyanga]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Mtwara na
Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na
Manyara]:
[Mikoa ya Dodoma, Morogoro na
Singida]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na
Pwani]:
[Mikoa ya Kigoma, Rukwa na Tabora]
:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya
jua.
|
TAHADHARI:
UPEPO MKALI UNAOZIDI KILOMITA 40 KWA SAA NA MAWIMBI
MAKUBWA YANAYOZIDI MITA 2.0 YANATARAJIWA KATIKA MAENEO YA UKANDA
WOTE WA PWANI. TAFADHALI CHUKUA TAHADHARI.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA
MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
21°C
|
12:32
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:14
|
DODOMA
|
26°C
|
12:29
|
KIGOMA
|
30°C
|
12:55
|
MBEYA
|
20°C
|
12:34
|
MWANZA
|
30°C
|
12:49
|
TABORA
|
29°C
|
12:43
|
TANGA |
28°C
|
12:18
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
12:14
|
PEMBA
|
28°C
|
12:18
|
MOROGORO
|
28°C
|
12:21
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 40 kwa saa; kutoka
Kusini kwa Pwani ya Kaskazini
na kutoka Kusini-Mashariki kwa Pwani
ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi
makubwa.
Matazamio kwa usiku wa leo Jumatatu:
24/06/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 24/06/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA
TANZANIA.
Post a Comment