Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAANDAAJI WA REDD'S MISS MOROGORO 2013 WAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI NA WASHIRIKI LEO-LIVE


Alexia Shayo akipokea kifuta jasho baada ya kushindwa kuingia nafasi ya tano
Saidath Khamis ambae pia hakubahatika kuingia tano bora akipewa kifuta machozi
Mshiriki Pendo David ambae pia hakupenya tano bora akipokea kifuta jasho cha Tsh 50,000 pamoja na nauli ya kurudi kwao
Mshiriki Neema Joel kutoka Arusha ambae alikosa sifa za kuingia tano bora baada ya kushiriki Arusha na Morogoro akipokea chake Tsh 50,000
SAphina Chuma kutoka Kilombero ambae alienguliwa baada ya kupanda jukwaani na chupi hivyo kukosa sifa ya kuendelea na shindano hilo hapa akipewa kifuta jasho
Mshindi wa nafasi ya tatu katika shindano hilo Muzne Abdully akipokea zawadi yake ya Tsh 200,000 kutoka kwa mgeni rasmi na mdhamini mkuu wa shindano hilo kutoka Hotel ya NAF BEACH HOTEL Mtwara ,Rama Chalinze wengine pichani kushoto ni aliyekuwa mwalimu wao Salvina Kibona (Miss Morogoro 2012) ,Asha Sareh ,Soul Makin mwana kamati kulia ni MC wa shindano hilo Bob Rich na mratibu wa shindano Frank Kakambako wakishuhudia
Mshiriki namba 4 katika shindano hilo Ummy Mohamed akipokea chake Tsh 100,000 kutoka kwa mgeni rasmi
Mshiriki aliyeingia nafasi ya tano katika shindano hilo Farioda Banzi akipokea zawadi yake ya TSh 100,000
Mshindi wa nafasi ya pili katika shindano hilo Sabra Islam akipokea zawadi ya Tsh 200,000
 

Mshindi wa taji la Redd's Miss Morogoro 2013 Diana Laizer akipokea zawadi yake ya Tsh 350,000 kutoka kwa kutoka kwa mgeni rasmi na mdhamini mkuu wa shindano hilo kutoka Hotel ya NAF BEACH HOTEL Mtwara ,Rama Chalinze wengine pichani kushoto ni aliyekuwa mwalimu wao Salvina Kibona (Miss Morogoro 2012) ,Asha Sareh ,Soul Makin mwana kamati kulia ni MC wa shindano hilo Bob Rich na mratibu wa shindano Frank Kakambako wakishuhudia
Matangaza haya kwa udhamini wa NAF Beach Hotel Mtwara ipo mbioni kufunguliwa
Hii ndio Hotel ya Kisasa ya NAF Beach Hotel iliyopo Mtwara na ipo mbioni kufunguliwa hivi karibuni ,NAF Beach Hotel
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top