Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI WASSIRA AMSHUKIA MBOWE NA KAULI ZAKE ZA KUKURUPUKA!!!


 
 
 
Nguli wa siasa nchini mhe. Wassira

leo katika mahojiano ya kipindi cha

jambo leo amemjibu Mbowe

kufuatia kauli yake ya serikali

kuhusika na mashambulizi ya

kutaka kumuua.

Amehoji mzee Wassira kuwa,

"Mbowe ana nini kuifanya serikali

imtafute?", hapa pia aliongeza

yafuatayo, "Mbowe huyu huyu

kwenye uchaguzi wa urais 2005

alipata kura 600 nchi nzima, sasa

ana nini cha kutafutwa?".

Mzee Wassira pia alisisitiza,

"Mbowe huna kitu chochote cha

kuifanya serikali ikutafute, hivyo

uache kuwahadaa watanzania kwa

kauli zako za uchochezi, kwani

hazina tija."
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top