Waziri
wa Afya Juma Nuni Haji akipokea mandamano yaliongozwa na vijana wa
Chipkizi, katika madhimisho ya siku ya upigaji vita matumizi na
biashara haramu ya madawa ya kulevya Duniani huko Meya , nje kidogo ya
Mji wa Zanzibar. Walioacha
kutumia madawa ya kulevya wakipita kwa mandamano mbele ya mgeni rasmin
Waziri wa Afya Juma Nuni hayupo pichani, katika madhimisho ya siku
ya upigaji vita matumizi na biashara haramu ya madawa ya kulevya
Duniani.
Addy
Amer alieacha kutumia madawa ya kulevya akitoa ushuhuda wa madawa ya
kulevya, na kuwataka vijana wasijaribi kuyatumia kwani yanahatarisha
maisha kwa ujumla.
Waziri
wa Afya Juma Nuni Haji, akiwahutubia wananchi na waliocha kutumia
madawa ya kulevya katika madhimisho ya siku ya upigaji vita matumizi na
biashara haramu ya madawa ya kulevya Duniani, kuli Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji Tume ya Dawa za kulevya Muhmoud Mussa,kushoto Naibu Kadhi Mkuu
Zanzibar Hassan Othman.
Waziri
wa Afya Juma Nuni Haji akiwa na viongozi mbalimbali, Makanda wa
Polisi katika picha ya pamoja na walioacha kutumia madawa ya kulevya
huko Meya katika madhimisho ya siku ya upigaji vita matumizi na biashara
haramu ya madawa ya kulevya Duniani Jun 26.
Picha na Makame Mshenga- Maelezo Zanzibar
Post a Comment