Ajali hii ilitokea jana jioni tarehe 02/07/2013,
baada ya gari dogo lililokuwa linatokea maeneo ya Ubungo kwenda uelekeo wa
Buguruni kumgonga mwenda kwa miguu aliyekuwa anavuka barabara katika maeneo
Gereji (garage)...
Damu ilimtoka kwa wingi sana mara baada ya ajali
katika maeneo ya kichwani, na hapo ilipotokea ajali kuna kivuko cha waendeo kwa
miguu
Darubini Leo
Post a Comment