Loading...
Home »
Unlabelled »
ANGALIA PICHA RAIS BARACK OBAMA WA MAREKANI AKIONYESHA KIPAJI KATIKA MCHEZO WA SOKA AKIWA TANZANIA.
Rais Kikwete akimwangalia Obama wakati akipiga mpira
danadana.
OBAMA akionyesha uwezo wa kumiliki mpira kwa kupiga kichwa
bila kutua chini wakati alipotembelea mitambo ya kuvua umeme Ubungo jijini Dar es salaam
muda mfupi kabla ya kuondoka nchini.
Hapa akipiga danadana huku akishuhudiwa na Rais wa Tanzania
Jakaya Kikwete
on Tuesday, July 2, 2013
Post a Comment