NYOKA
aina ya chatu akiwa ameshindwa kutembea baada ya kumeza mbuzi ambapo
desturi ya nyoka huyo pindi anapomeza mnyama mkubwa huwa na kawaida ya
kukaa eneo hilo la tukio kwa zaidi ya wiki moja na kuendelea mpaka mnyama huyo aliyemmeza aanze kuyeyuka katika tumbo lake, huyo ndiye chatu.


Post a Comment