Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BASI LA ABOOD LIKITOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA MBEYA LAPATA AJALI ENEO LA SAO HILL MAFINGA MUDA MFUPI ULIOPITA

 

 BASI LA ABOOD LIKIWA LIMEPINDUKA

 ABIRIA WAKIWA WAMETOKA NJE BAADA YA AJALI KUTOKE
HIVI NDIVYO BASI LA ABOOD LILIVYO PINDUKA 

******
Basi la Abiria la Abood lililokuwa linatokea Dar es salaam kuelekea Mbeya Limepata Ajali Jioni Hii eneo la Msitu wa Sao Hill Mafinga Mkoani Iringa, Chanzo cha ajali hiyo hakija Fahamika mara moja, Na abiria wote waliokuwemo katika Basi hilo Wamenusurika. Picha zote na Blogs za Mikoa
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top