HAPA AKIONYESHA WATOTO WA CCM WAKIWA WAMEBEBA KITU AMBACHO AMESEMA NI BUNDUKI NA WAKIFUNDISHWA JINSI YA KUZITUMIA JAMBO AMBALO AMESEMA KUWA NI HATARI SANA KWA AMANI YA TANZANIA |
AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO MKURUGENZI WA MAFUNZO WA CHAMA HICHO AMELITAKA JESHI LA POLISI KUANZA NA CCM BADALA YA KUWAKEMEA WAO KWANI VIKUNDI VYA ULINZI VYA CHAMA VIMESAJILIWA KWA MUJIBI WA KATIBA YA KILA CHAMA NA NI HAKI YA MTNZANIA KUJILINDA.
AIDHA AMESEMA KUWA CHAMA CHAKE HAKIANZISHI VIKUNDI KWANI VIPO NA VIMESAJILIWA KINACHOFANYIKA NI KUWAPA MAFUNZO YA KULINDA CHAMA NA VIONGOZI WAKE KWANI WAMEGUNDUA CHAMA CHAKE HAKINA ULINZI KUTOKA KWA POLISI
MAKAO MAKUU YA CHADEMA DAR ES SALAAM. CHANZO http://habari24.blogspot.com |
Post a Comment