Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

HAYA HAPA MATOKEO YA UDIWANI , ARUSHA .... CHADEMA YAONGOZA


Hatimaye zoezi la kupiga kura limekamilika leo majira ya saa kumi jioni na kiukweli inasikitisha kuona ni idadi ndogo ya wananchi wapiga kura wamejitokeza kupiga kura.
libeneke imeweza kupata baadhi ya matokeo katika kata ya Themi mara baada ya kubandikwa katika ubao za matangazo za ofisi ya mtendaji kata ya Themi ambapo katika vituo vinne vya ambapo kituo A kilikuwa na jumla ya wapiga kura 391 waliojitokeza kupiga kura ni 47 mgombea wa ccm Victor Mkolwe amepatankura 9 ,mgombea wa chadema ambaye ni Kinabo Edwaund amepata kura 23na mgombea wa CUF  Lobora Ndarpoi  akiwa amepata kura 3

katika kituo B kilichopo katika ofisi ya mtendaji kata CCM wamepata  16,chadema 33 huku CUF wkiwa na kura 02 walijiandikisha kupiga kura ni watu 391 waliojitokeza kupiga kura ni 52 kura halali ni 51 na imeharibika moja

katika kituo kwanza c :CUF Wamepata kura 03 ,CHADEMA 23 na CCM kura 13 waliojiandikisha ni 391 na waliojitokeza kupiga kura ni 39 hamna iliyoaribika ata moja

kwa matokeo zaidi endelea kufatilia NDGSHILATU BLOG
 
CREDITS: libeneke la kaskazini
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top