Jeshi la polisi limelaani vikali na kutoa onyo
kuhusu kushamiri nchini kwa kasi ya matukio ya watu kumwagiwa tindikali,huku
likiahidi kuwasaka na kuwatia mbaroni watu waliohusika katika tukio la kumwagia
tindikali mmiliki wa kampuni ya Home Shoping Centre bwana Said said
Mohamed.
Loading...
Post a Comment