Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JK ALIVYOMWANDALIA OBAMA DHIFA YA KITAIFA IKULU

.


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wageni wake Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakati wa dhifa ya kitaifa aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Usiku. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein na Kulia ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha wageni wake Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakati wa dhifa ya kitaifa aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Usiku. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein na Kulia ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda


Rais Barack Obama wa Marekani akimshukuru Rais Jakaya Kikwete  wakati wa dhifa ya kitaifa aliyowaandalia Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Usiku. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein na Kulia ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda.Picha na IKULU
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barak Obama wa Marekani kwa Mawaziri wakuu wastaafu pamoja na viongozi wengine wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia mgeni huyo Jumatatu usiku Ikulu jijini Dar es salaam, Pichani Akimsalimia Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barak Obama wa Marekani kwa Mawaziri wakuu wastaafu pamoja na viongozi wengine wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia mgeni huyo Jumatatu usiku Ikulu jijini Dar es salaam. Pichani akimsalimia Waziri Mkuu Mstaafu na Katibu mkuu mstaafu wa OAU Dr Salim Ahmed Salim
 Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakiangalia ngoma za utamaduni pamoja na bendi ya polisi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho kikwete. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Serikali ya Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein.
 
 Rais Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakiangalia bendi ya polisi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho kikwete. Kushoto ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Serikali ya Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top