Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na uongozi wa Benki ya Maendeleo ya TIB
uliofika Ikulu kumwelezea Rais Kikwete mipango na mikakati kabambe ya
kuijenga upya benki hiyo iliyokuwa ikijulikana kama Tanzania Investment
Bank (Benki ya Rasilimali Tanzania) ikiwa ni pamoja na vitega uchumi.
miundo mbinu na upanuzi wa wigo wa biashara.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa
benki ya Maendeleo ya TIB, Bw Peter Noni, Ikulu jijini Dar es salaam leo
Julai 13, 2013. Bw. Noni na ujumbe wake walifika Ikulu kumwelezea Rais
Kikwete mipango na mikakati kabambe ya kuijenga upya benki hiyo
iliyokuwa ikijulikana kama Tanzania Investment Bank (Benki ya Rasilimali
Tanzania) ikiwa ni pamoja na miundo mbinu na upanuzi wa wigo wa
biashara.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki
ya Maendeleo ya TIB, Bw Peter Noni, Ikulu jijini Dar es salaam leo Julai
13, 2013. Bw. Noni na ujumbe wake walifika Ikulu kumwelezea Rais

Post a Comment