Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mfalme Mswati (ii) wakati walipokutana kwenye Mkutano
wa 12 wa Afrika unaojadili magonjwa ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria
(Abuja +12) uliofunguliwa na Rais wa Nigeria Dkt. Gudluck Jonathan,
ulioanza leo mjini Abuja Nigeria na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali
wa Nchi za Afrika. Katikati yao ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Mahadhi (kulia) ni Naibu Waziri
wa Afya, Dkt. Seif Rashid.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa na baadhi ya Viongozi wenzake wakati wa ufunguzi rasmi wa Mkutano
wa 12 wa Afrika unaojadili magonjwa ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria
(Abuja +12) uliofunguliwa na Rais wa Nigeria Dkt. Gudluck Jonathan, leo
mjini Abuja Nigeria na kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Nchi za
Afrika.
Makamu
wa Rais, Dkt. Bilal, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Seif Rashid (kulia) na
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Mahadhi Juma Mahadhi, wakisimama wakati
zikipigwa nyimmbo za Taifa ukumbini humo.
Rais
wa Nigeria, Gudluck Jonathan (kulia) akiongozana na baadhi ya marais,
wakati akiwasili ukumbini hapo kufungua rasmi mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akishiriki katika Mkutano wa 12 wa Afrika unaojadili magonjwa ya
Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria (Abuja +12) uliofunguliwa na Rais wa
Nigeria Dkt. Gudluck Jonathan, ulioanza leo mjini Abuja Nigeria na
kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Nchi za Afrika.Picha Kwa HIsani ya Sufiani Mafoto Blog
Post a Comment