Mwenyekiti wa CCM Manispaa ya Iringa Abed Kiponza kushuto akishiriki mazishi ya aliyekuwa kada wa CCM Manispaa ya Iringa na daktari bingwa wa meno mstaafu katika Hospital ya mkoa wa Iringa Abubakari Ally aliyefariki dunia leo na kuzikwa makaburi ya makanyagio mjini Iringa
Kada wa CCM Iringa mjini Shukru Stivin katkati akiwa na waombolezaji wengine kuli ni diwani wa kata ya Kwa kilosa Manza Ginga
Diwani wa kata ya Kitwiru Manispaa ya Iringa Ally Mbata mwenye kijani akiwa na mstahiki meya wa Manispaa ya Iringa Amani Mwamwindi mwenye suti na waombolezaji wengine mbali mbali
Makada wa CCM Baba Mwadhan wa pili kushoto akiwa na mwenyekiti wa CCM Iringa mjini Abed Kiponza na waombolezaji wengine
Waombolezaji wakishiriki mazishi hayo leo ambapo marehemu pia ni mume wa katibu kata wa CCM kata ya Kitwiru mjini Iringa
kiongozi wa D.I.F Abdul-Salami Ahmad Ayub (kushoto) akiongoza dua pamoja na waumini wengine wa dini ya kiislam mjini Iringa
CREDITS: FRANCIS GODWIN WA MATUKIO DAIMA BLOG
Loading...
Home » Unlabelled » KADA WA CCM IRINGA MJINI AFARIKI DUNIA NI ALIYEPATA KUWA DAKTARI BINGWA WA MENO HOSPITALI YA MKOA WA IRINGA AFARIKI DUNIA
Post a Comment