Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAMA BARACK OBAMA AFUNGUA MKUTANO WA (AFRICAN FIRST LADIES SUMMIT 2013)

 


1
Mke wa Rais wa Marekani Mama Michelle Obama katikati akizungumza katika mkutano wa African First Ladies Summit 2013 ulioanza leo kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam huku ukihudhuriwa na Rais Mstaafu wa Marekani Rais George Bush na Mke wake Raula Bush, ambao umedhaminiwa na taasisi ya George W. Bush Institute ya Marekani, mkutano huo umeshirikisha wake wa marais kutoka nchi mbalimbali za Afrika zikiwemo Afrika Kusini, Msumbiji, Burundi, DRC Congo, Rwanda, Uganda,  Zambia ,Malawi ,Somalia na zingine, Kushoto ni Mama  Raula Bush na kulia ni muongozaji wa majadiliano hayo (PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE) 2
Raula Bush mke wa rais mstaafu wa marekani George Bush akizungumza katika mkutano huo katikati ni Mama Michelle Obama Mke wa Rais Barack Obama  na kulia ni muongozaji wa majadiliano hayo 3
Raula Bush mke wa rais mstaafu wa marekani George Bush akizungumza katika mkutano huo
 4
Mama Salma Kikwete Mke wa Rais Jakaya Kikwete akisoma hotuba yake katika mkutao huo. 7
Rais Jakaya Kikwete akusoma hotuba yake katika mkutano huo wakati akiwakaribisha Michelle Obama mke wa rais Obama ,  George Bush na Mke wake Raula pamoja na wageni waalikwa walioshiriki katika mkutano huo.
8
Washiriki mbalimbali wa mkutano huo wakifuatilia mjadala wa mkutano huo 9
Washiriki mbalimbali wa mkutano huo wakifuatilia mjadala wa mkutano huo 10
Washiriki mbalimbali wa mkutano huo wakifuatilia mjadala wa mkutano huo 11 12 13
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top