Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAONYESHO YA SABASABA NI MWENDO WA KUCHEZEA VICHAPO TU KWA WAVUNJA SHERIA

 


Kijana ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja (mwenye t-shirt nyeupe) akiwa mikononi mwa vijana wasamalia mwema waliomkamata katika moja ya mabanda ya maonyesho ya sabasaba akikwapua simu katika banda hilo huku akiwa ameharibika usoni baada ya kupokea kipigo cha mbwa mwizi na raia wenye asila kali
Kijana ambaye alikamatwa akiiba simu katika moja ya banda lililopo kwenye maonyesho ya Sabasaba Akiwa amepigwa tanganyika jeki huku akiwa kashapokea kipigo cha mbwa mwizi baada ya kukamatwa na raia wenye asila kali katika viwanja hivyo hapo jana
Kibaka akiwa kwenye mikono ya mwana usalama wa JKT akipelekwa katika Kituo Cha Polisi Cha Sabasaba Mara baada ya kupokea Kichapo Kutoka Kwa Raia wenye asila kali katika viwanja vya sabasaba hapo jana

Kijana ambaye hakufahamika jina lake alijikuta kwenye wakati mgumu sana leo mara baada ya kumrushia makonde askari wa jeshi la kujenga Taifa (JKT) katika maonyesho ya Sabasaba baada ya kutaka kumzuia askari huyo asifanye kazi yake wakati akitaka kumkamata mwizi. Baada ya Raia kujikuta wakitoa kipondo kwa kijana ambaye aliiba simu ndipo askari huyo aalipotokea na kutaka kumkamata lakini jamaa huyo akishikwa na polisi hapo juu katika picha laitokea na kutaka kumzuia askari huyo asifanye kazi yake vizuri ndipo ukaanza ubishani na hapo ndipo ngumi zikaanza. Baada ya Askari huyo kutumia Vyema mafunzo aliyopewa kambini wakati wakujiunga na Jeshi hilo ndipo alipoweza kumtia nguvuni na bila ubishi akaingia kwenye kumi na nane za askari.
Jamaa akiwa mpole huku akipelekwa kituoni tayari kwa maamuzi mengine
Taratibu akipelekwa kituo cha Polisi tayari kwa hatua zaidi kuchukuliwa
 
CREDITS": LUKAZA BLOG
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top