Watu wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani. Angalia Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia. Tanzania haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani.. Hii maana yake imepanda sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi ya 26!Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na kwenda juu zaidi. Aidha Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa kwa kasi. huku nchi ya Uganda ikiwa nafasi ya 21, Rwanda 25, Burundinafasi ya 3 na Kenya ikishika nafasi ya 30. Nchi Tajiri zaidi Duniani ni Qatar!
Matukio makuu Afrika 2024
8 hours ago
Post a Comment