Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJILI MSIBANI NYUMBANI KWA PROF JAY







Photo: Pichani ni wasanii wa bongo fleva wakiacha kumbukumbu katika kitabu cha maombolezo. Kushoto ni Dullayo pamoja na mdogo wake Prof Jay anaitwa Black Rhino mwenye tshirt ya kijani


Photo: Huyu ni mtoto wa Prof Jay anaitwa LISA ndio ameingia nyumbani hapa kwenye msiba wa bibi yake kipenzi

Huyu ni mtoto wa Prof Jay anaitwa LISA ndio ameingia nyumbani hapa kwenye msiba wa bibi yake kipenziHali ilivyo asubuhi hii hapa nyumbani kwa Prof Jay ambapo ndipo ulipo msiba wa mama yetu.. kwa wanaotaka kuja msiba upo Mbezi mwisho baada ya stendi mpya ya mabasi basi mbele kidogo mkono wako wa kushoto utaingia utaona nyumba kumba ipo kwa chini na magari mengi basi ndio hapo hapo. Kwa wanaokuja na daladala baada yakupita hiyo stendi mpya utamwambia konda akushushe kwa Prof Jay maana ndio kituo hicho. RIP MAMA MAJANJALA


Pichani ni wasanii wa bongo fleva wakiacha kumbukumbu katika kitabu cha maombolezo. Kushoto ni Dullayo pamoja na mdogo wake Prof Jay anaitwa Black Rhino mwenye tshirt ya kijani

CREDIT: DJ CHOKA
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top