Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mkutano wa Kwanza wa Baraza la Katiba la Tasnia ya Habari Kanda ya Kaskazini -Zanzibar.

 

Meneja wa Baraza la Habari Zanzibar Mwenyekiti wa Kikao hicho Suleiman Seif akitowa maelezo ya Mkutano huo wa Baraza la Katiba Tasnia ya Habari Tanzania, uliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Manzsons Hoteli Shangani Zanzibar na kuwashirikisha Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar.

Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania MCT Kajubi Mukajanga, akitowa maelezo ya Rasimi ya Katiba Mpya, Uchambuzi wa Ibara za Rasimu ya Katiba Mpya zinazohusu Haki ya kupata Habari, Uhuru wa Vyombo vya Habari na Haki ya Kujieleza, uliowashirikisha Waandishi wa habari wa Zanzibar.

Meneja wa Udhibiti wa Viwango Baraza la Habari Tamzania MCT Pili Mtambalike, akitowa maelezo ya Rasimu ya Katiba Mpya Mapungufu kwenye Rasimi na Mapendekezo ya Wadau.wakati wa Baraza la Katiba la Tasnia ya Habari kanda ya Kaskazini -Zanzibar kupitia na kutowa mapendekezo yao katika Rasimu hiyo.

Waandishi wahabari wakifuatilia Mjadala wa Rasimu ya Katiba Mpya katika Mkutano wa Baraza la Katiba ulioandaliwa na Baraza la Habari Tanzania

Kwa taswira zaidi tembelea ZanziNews
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top