Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

TASWIRA: MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA NCHI ZA AFRIKA WAFANYIKA SERENA HOTEL

IMG_4562



Copy of IMG_4367
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akihojiwa na Mtangazaji, Adesewa Josh kutoka  Channels TV ya nchini Nigeria wakati wa mkutano wa wake wa Marais wa nchi zaa Afrika unaofanyika katika hoteli ya Serena hapa Dar es Salaam tarehe 3.7.2013.

Copy of IMG_4407 Copy of IMG_4408
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa wake wa marais wa Afrika wakisikiliza hotuba ya Rais Jakaya Kikwete alipohutubia mkutano huo tarehe 3.7.2013.

Copy of IMG_4425
Rais Jakaya Kikwete akihutubia mkutano wa siku mbili wa wake wa marais wa Afrika unaofanyika katika hoteli ya Serena hapa Dar es Salaam. Copy of IMG_4515
Rais Jakaya Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa George Bush na mke wake Mama Laura Bush pamoja na Mama Salma Kikwete wakiangalia igizo lililokuwa linafanya na kikundi cha Tanzania House of Talent wakati wa mkutano wa wake wa marais wa Afrika unaofanyika katika hoteli ya Serena tarehe 3.7.2013. IMG_4562

Rais Jakaya Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Mstaafu wa Marekani Mheshimiwa George Bush wakiwa katika picha ya pamoja na wake wa marais wa Afrika  na wana kikundi cha Tanzania House of Talents mara baada ya kufanya igizo kwenye mkutano wao kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam tarehe 3.7.2013.

PICHA  NA JOHN LUKUWI.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top