Msafara
wa Rais Barrak Obama Ukiwa Eneo la Mwenge Kuingia Barabara ya Sam Mujoma
ukiwa njaini kuelekea Ubungo kukagua mitambo ya kuzalisha umeme ya
symbion Leo asubuhi
Msafara
uliombeba rais wa Marekani Barrack Obama ukiwa eneo la Ubungo kwenye
makutano ya barabara ya Moarogoro na Sam Mujoma leo asubuhi
Rais wa
Marekani Akiwa anaingia eneo la tanesco Ubungo leo asubuhi ikiwa ni
muendelezo wa ziara yake ya siku mbili aliyoianza Jana hapa Nchini
Gari la usalama wa Rais wa Marekani.
Msafara
wa Rais wa marekani ukiwa eneo la tazara Kuelekea uwanja wa ndege tayari
kuondoka mara baada ya kumaliza ziara yake hapa nchini leo.Picha na
Mwinyi
Post a Comment