King Kikii(kushoto) akielezea namna alivyojipanga
kuteka mashabiki siku ya jumamosi hii katika viwanja vya posta .kulia ni
mwanamuziki mkongwe Hamza Kalala.Milango ya uwanja itakuwa wazi kuanzia saa tano
asubuhi hadi usiku mnene,Watoto bureeee mpaka saa kumi na mbili,wakubwa Tsh
8,000/= tu mpaka chwee.Michezo ya watoto,nyama choma na vinywaji vyakutosha
vitakuepo. |
Post a Comment