Mtaalamu
wa utafiti wa mambo ya Kale kutoka chuo cha Colorado Denver Department
of Anthropogy,Marekani,Profesa Charles Musiba akitoa taarifa ya
maendeleo ya utafutaji wa nyayo za watu kale kwenye eneo la Laetoli
wilayani Ngorongoro,mkoa wa Arusha kwa wajumbe wa Kamati ya bunge ya
Ardhi,Maliasili na Mazingira juzi. (Na Mpigapicha Wetu)
Burhan awekewa vikwazo na Marekani
7 hours ago
Post a Comment