Huyu ndiye malaika wa Mungu
aliyetelekezwa maeneo ya bamaga nje ya chuo cha ustawi wa jamii karibu na TBC
hapa akiwa amebebwa na mmoja wa mfanyakazi wa ITV baada ya wasamaria wema
kumleta ITV,Anayeonekana kwa nyuma ni mmoja wa vijana waliomuokota mtoto
huyo
Hembu angalia jinsi katoto
kalivyo kazuri kenyewe kanahisi kako na mama yake kumbe msamaria
mwema.
v
VIA/www.mchomeblog.com
Post a Comment