Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mabalozi wateule watakaoiwakilisha
Tanzani katika mataifa mbalimbali. Kutoka kushoto ni Mbarouk Nasoro
Mbarouk (Umoja wa Falme za kiarabu UAE), Modest Jonathan Maro Umoja wa
matifa (Geneva) Wilson Masilingi (Uholanzi), Liberata Mulamula
(Marekani), Luteni Jenerali Mstaafu, Abdulrahman Shimbo (China), Chabaka
Kilumanga (Comoro), na Anthony Cheche atakayekwenda Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu).
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wateule
watakaoiwakilisha Tanzania katika Mataifa mbalimbali. Kutoka kushoto ni
Anthony Cheche (DRC), Chabaka kilumanga (Comoro), Luteni Jenerali
Mstaafu, Abdulrahman Shimbo, (China), Liberata mulamula (Marekani). ,
Wilson Masilingi (uholanzi), Mbarouk Nasoro Mbarouk (UAE) na Modest Maro
,(Umoja wa Mataifa – Geneva. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment