Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Uholanzi Mhe.Dkt.Ad Koekkoek
anayemaliza muda wake wa uakilishi nchini. Balozi huyo baadaye alifanya
mazungumzo na Rais Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Spika wa bunge la Korea ya Kusini Mhe.Hee Chang wakati spika huyo na ujumbe wake walipomtembelea Rais ikulu jijini Dar es salaam leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Spika wa Bunge la korea ya Kusini
Mhe.Hee Chang baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini Dar es
Salaam leo.
Spika wa bunge la Korea Mhe.Hee Chang (kulia) akimfurahia Simba aliyekaushwa na kupamba lango la ikulu leo asubuhi. Kushoto ni mwenyeji wake,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya
nje wa India Mhe.Preneet Kaur ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa
Mambo ya nje wa India Mhe.Preneet Kaur(wapili kushoto) na ujumbe wake ikulu
jijini Dar es Salaam leo.kulia ni Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano
wa Kimataifa Mhe.Bernard Membe Picha na Freddy Maro
Post a Comment