Rais
Barack Obama wa Marekani na mkewe Michelle wakiangalia ngoma za
utamaduni pamoja na bendi ya polisi wakati wa dhifa ya kitaifa
aliyoandaliwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho kikwete. Kushoto ni
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Serikali ya Mapinduzi Dkt Ali Mohamed
Shein.
PICHA NA IKULU
on Tuesday, July 2, 2013
Post a Comment