Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kikundi cha ZAYDAT &BASMA GROUP cha Chukwani Zanzibar,TatuSuleiman,wakati alipokuwa akiangalia bidhaa Mbali mbali za vikundi vya Ushirika kutoka Zanzibar vilivyoshiriki katika maonesho ya sabasaba ya kibiashara katika viwanja vya mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Bana Enterprises Company Limited SAID OMAR SAID, kampuni ambayo inajishuhulisha na utengenezaji wa fanicha za Mti wa Mnazi,wakati alipotembelea maonesho ya sabasaba ya kibiashara katika viwanja vya
mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mke wa Rais Mstaafu Mama Anna Mkapa,wakati alipowasili katika Mabanda ya Taasisi yake (Mfuko wa Fursa sawa kwa Wote),alipotembelea maonesho ya sabasaba ya kibiashara yanayoendelea katikaviwanja vya mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akipata maelezo wakati alipokuwa
akiangalia Bidha mbali mbali za Akima mama kutoka Mkoani Kagera katika maonesho ya sabasaba ya kibiashara yanayoendelea katikaviwanja vya mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akitoa ushauri kwa wasimamizi wa kampuni ya Nguo ya Arusha chini ua usimamizi wa Mkurugenzi wake Anuj Shal,(kulia) wakati wa maonesho ya sabasaba ya kibiashara yanayoendelea katika viwanja vya mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Post a Comment