Baadhi
ya wakazi wa Jiji la Dar wakilitazama gari la mbao ambalo lipo katika
banda la Maliasili na Utalii katika Maonyesho ya Sabasaba ambayo
yanaendelea katika viwanja hivyo barabara ya kilwa
Muonekano wa Gari hilo la Mbao
Muonekano wa Mbele wa gari hilo la Mbao lililopo katika Banda la Maliasili na Utalii
Wakazi
wa Jiji la Dar Na vitongoji vyake wakilitizama gari lililotengenezwa na
Mbao katika Maonyesho ya Sabasaba ambapo gari hilo lipo katika Banda la
Maliasili na Utalii.
credits: Lukaza blog
Post a Comment