Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda (kulia) akimkabidhi tuzo Meneja Uhusiano Mambo ya
Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Orio kwa kutambua mchango wa
kampuni hiyo wa kufadhili sherehe za kufunga Maonesho ya 37 ya Biashara
ya Kimataifa ya Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu Julius
Nyerere, Dar es Salaam.Katikati ni Dk. Abdallah Kigoda Waziri wa Viwanda
na Biashara.
Orio akifuara tuzo hiyo
Post a Comment