Kaimu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Profesa
Hermas Mwansoko akifafanua jambo kwa waandishi wahabari alipokutana na
Wageni kutoka Taasisi ya Right To Play leo jijini Dar es Salaam.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Right To Play International ambaye pia ni mwanzilishi
wa Taasisi hiyo Johenn Olav Koss akisisitiza jambo katika mkutano baina
yake na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo leo jijini Dar es Salaam
Meneja
wa Right To Play Tanzania Bibi Josephine Mukakalisa (Kulia) akifafanua
jambo katika mkutano wa Taasisi yao na uongozi wa Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo jana jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Rais
na Afisa Mtendaji Mkuu wa Right To Play International Johenn Olav Koss.Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo Leonard Thadeo akifafanua jambo kwa waandishi wahabari
alipokutana na Wageni kutoka Taasisi ya Right To Play leo jijini Dar es
Salaam,Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Michezo Bibi Juliana
Yassoda
Baadhi
ya wajumbe kutoka Right To Play wakifuatilia hotuba iliyokuwa inatolewa
na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
hayupo pichani,kutoka kulia ni Johenn Olav Koss Afisa Mtendaji Mkuu wa
Right To Play kutoka Toronto Canada, Kelvin Taylor Makamu wa Rais wa
Right To Play kutoka New York na Francis John Rwiza Meneja Miradi wa
Right To Play Tanzania
Waandishi
wa Habari wakifuatilia mada katika mkutano baina ya Kaimu Katibu Mkuu
wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo na ujumbe kutoka
Taasisi ya Right To Play International leo jijini Dar es Salaam
Post a Comment