Hayo
ni maneno aliyoandika Dada Regina Mwalekwa wa Clouds Radio kupitia Blog
yake kuhusiana na tukio la binti ambaye ni yatima kuchomwa moto kwa
kula kiporo cha ugali…. “Sura imeniparama
kwa maumivu ya Dora mimi ni mzazi so ilinigusa mnooo! Yatima wanateswa
jamani, lakini watu wanasahau kua yatima na wajane ni jicho la Mungu
aliye hai, fanya ufanyacho malipo ni hapa hapa ulimwenguni”.
Source: http://kegajo.blogspot.com/
Post a Comment