WIZARA YA
UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA
HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 04/07/2013.
[Mikoa ya Mara, Kagera,
Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Dodoma, Kigoma,
Tabora na Singida]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya,
Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dar es Salaam,
Pwani na Tanga]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro
na Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA
MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
20°C
|
12:35
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:18
|
DODOMA
|
25°C
|
12:34
|
KIGOMA
|
30°C
|
12:59
|
MBEYA
|
22°C
|
12:37
|
MWANZA
|
29°C
|
12:50
|
TABORA
|
30°C
|
12:47
|
TANGA |
28°C
|
12:22
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
12:18
|
PEMBA
|
28°C
|
12:22
|
MOROGORO
|
28°C
|
12:25
|
Upepo wa
Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini-Mashariki
kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa
Pwani yote
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.
Matazamio kwa usiku
wa leo Alhamisi: 04/07/2013: Mabadiliko
kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe: 04/07/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA
HEWA TANZANIA.
Post a Comment