Mizinga
Melu Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya National Bank Of Commerce (NBC)
kulia akizungumza na Liz Lloyd Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard
Chatered mara baada ya Mke wa Rais wa Marekani Mama Michelle Obama
kumaliza majadiliano katika mkutano wa African First Ladies Summit 2013
unaomalizika leo jijini Dar es salaam kwenye hoteli ya Serena, Mkutano
huo ulidhaminiwa na taaisis ya George W. Bush Institute ya George Bush
Rais mstaafu wa Marekani, katikati ni Mwinda Kiula Mkuu wa Masoko,
Mawasilianona Mahusiano ya Biashara NBC
Loading...
Home » Unlabelled » WAKURUGENZI WATENDAJI WA NBC NA SCB WASHIRIKI MKUTANO WA AFRICAN FIRST LADIES SUMMIT 2013 JIJINI DAR ES SALAAM
Post a Comment