Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK. Mwinyihaji Makame Mwadini katika ufunguzi wa msikiti Dar leo

IMG_2201
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi DK. Mwinyihaji Makame Mwadini,akizungumza na
Waislamu na wananchi wa Ilala Bungoni Jijini Dar es Salaam,kwa niaba
ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein,katika sherehe za Ufunguzi wa Msikiti  Masjid  Taqwa
leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2209
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi DK. Mwinyihaji Makame Mwadini,akifungua  pazia  kama isahara
ya ufunguzi  wa Msikiti  Masjid  Taqwa, Ilala Bungoni jijini Dar es
Salaam leo,kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2222
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi DK. Mwinyihaji Makame Mwadini,akimkabidhi cheti Mchoraji
ramani ya Msikiti  Masjid Taqwa Bungoni Ilala Mohamed Igoni Swaleh,kwa
niaba ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein, wakati wa Sherehe za Ufubfuzi wa msikiti huo  leo .
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

IMG_2224
Mbunge wa  Ilala Azam Zungu,akitoa shukurani  wakati wa
sherehe za ufunguzi wa msikiti wa Masjid Taqwa,Bungoni Ilala,jijini
Daar es Salaam,uliofunguliwa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK. Mwinyihaji Makame Mwadini,kwa
niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2227
Baadhi  ya waislamu wanaume wa   Ilala Bungoni , na
Vitongoji jirani wakimsikiliza  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK. Mwinyihaji Makame
Mwadini,alipokuwa akizungumza nao  wakati wa sherehe za Ufunguzi wa
Msikiti  Masjid  Taqwa  jijini Dar es Salaam leo,kwa kwa niaba ya Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2230
Baadhi  ya waislamu wanawake  wa   Ilala Bungoni , na
Vitongoji jirani wakimsikiliza  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK. Mwinyihaji Makame
Mwadini,alipokuwa akizungumza nao  wakati wa sherehe za Ufunguzi wa
Msikiti  Masjid  Taqwa  jijini Dar es Salaam leo,kwa kwa niaba ya Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_2237
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi DK. Mwinyihaji Makame Mwadini,akifunua kitambaa kama
isahara ya ufunguzi  wa Msikiti  Masjid  Taqwa, Ilala Bungoni jijini
Dar es Salaam leo,kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohame
IMG_2247
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi DK. Mwinyihaji Makame Mwadini,akifungua  mlango   kama
isahara ya ufunguzi  wa Msikiti  Masjid  Taqwa, Ilala Bungoni jijini
Dar es Salaam leo,kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top