Mchezaji
wa tim ya Azam Fc, Abdalah Seif (katikati) akijitahidi kumuwahi
mchezaji wa Kaizer Chief ya Nchini Afrika ya Kusini, wakati wa mchezo wa
Kimataifa wa Kirafiki baina ya timu hizo uliochezwa jana jioni kwenye
Uwanja wa mazoezi wa timu hiyo. Katika mchezo huo Kaizer iliibuka na
ushindi wa mabao 3-0, dhidi ya Azam.
Alfajiri
57 minutes ago
Post a Comment