Balozi
wa Kenya nchini Tanzania anayemaliza muda wake Mhe. Mutinda Mutiso
akimkabidhi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete nakala ya Kamusi ya Istilahi
za Kidiplomasia(Diplomatic Terminologies Dictionary) wakati balozi huyo
alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam baada ya kumaliza muda
wake wa utumishi hapa nchini mwishoni mwa wiki.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Kenya nchini Tanzania
anayemaliza muda wake wa utumishi hapa nchini Mhe.Mutinda Mutiso wakati
balozi huyo na ujumbe wake kutoka ofisi za ubalozi wa Kenya jijini Dar
es Salaam alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki
Post a Comment